Tanzania Ministry of Transport The United Republic of Tanzania, Ministry of Transport Miaka Hamsini ya Uhuru 1961-2011

News, Events, Speeches and Statements

Jun
2013
News | Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) leo tarehe 16 Juni, 2013 inatoa Tahadhari kwa Umma na Jamii kuhusu Upepo Mkali unaozidi kilometa 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 katika baadhi ya Maeneo yote ya ukanda wa bahari ya Hindi (Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). » full article

Page 1 of 1 pages

More on News and Events

Policies and Regulations

Photo Gallery

Ministry's Events in Photos